Si kuchapisha tu — ni kukufanya brand yako ikumbukwe. Banner, booth branding, corporate gifts na design ya kiwango cha kimataifa, kwa wakati, hapa Tanzania.
Tunawashukuru kwa kutuamini.
Tunahudumia · Serving
DP Promotions Limited ni kampuni ya Kitanzania ya branding, printing na promotional materials, yenye makao yake Dar es Salaam. Tumejengwa kwa wazo moja: kila brand inastahili kusimama tofauti.
Kutoka logo ndogo hadi booth kamili ya maonyesho, tunabeba safari nzima ya brand yako — design, print, branding na production — chini ya paa moja, kwa wateja kote Afrika Mashariki na Kati.
Kutoa huduma bora zinazozidi matarajio ya wateja wetu.
Kujenga uhusiano wa kudumu na wateja kwa ubunifu na teknolojia ya kisasa.
Kila siku biashara hupoteza wateja kwa sababu ya branding dhaifu, kazi inayochelewa, au material isiyolingana. Hapa ndipo tunapoingia.
Banner na material zinazofika baada ya muda — event imeshapita. Sisi tunaheshimu deadline yako.
Branding ya "copy-paste" haikufanyi usimame tofauti. Sisi tunabuni kitu kinachokutambulisha.
Design hapa, print pale, gifts kwingine. Sisi ni sehemu moja — design, print, brand, produce.
Kutoka wazo hadi bidhaa mkononi mwa mteja wako. Tunabeba mzigo wote wa branding.
Logo, brand identity na guidelines zinazokutofautisha na kukuweka akilini mwa wateja.
Roll-up banners, flyers, brochures, stickers na material zote za maonyesho — kwa ubora wa juu.
Branded t-shirts, mugs, gift bags na embroidery — zawadi zinazobaki mikononi mwa mteja wako.
SMS & social media marketing, promotional campaigns zinazokuletea wateja wapya.
Huduma ya ziada: tovuti, web apps na mobile apps zinazokuza biashara yako kidijitali.
Tunasikiliza lengo lako, bajeti na muda. Kila kitu kinaanzia hapa.
Tunatengeneza dhana na kukuonyesha. Tunarekebisha hadi uridhike 100%.
Baada ya approval, tunachapisha na kuzalisha kwa ubora wa juu.
Tunakukabidhi kwa wakati — tayari kusimama tofauti.
Design, print, branding na production — bila kukimbia maeneo mengi.
Tunajua event yako haisubiri. Tunakukabidhi kwa wakati, kila wakati.
Tunahudumia brands za ndani na kimataifa kwa ubora unaolingana.
Kiswahili, English, Français, 中文 — tunahudumia kila mteja kwa lugha yake.
"Word of mouth ni muhimu sana. Ukijenga experience nzuri, wateja huambiana." — tunaamini hivyo, na takwimu zinaeleza yenyewe.
Sehemu ya kazi tulizozifanya kwa wateja wetu kote Tanzania.
Chagua unachohitaji, ongeza kwenye cart, kisha maliza order kupitia portal yetu salama. Bei zote ni za awali (bila VAT) na zinaweza kubadilika kulingana na design na wingi.
* Bei ni ya awali bila VAT. Utamaliza order na malipo kupitia portal yetu salama.
Tuambie kuhusu project yako leo. Tunakupa quotation bila malipo.
Tabata Kisukuru, Mlando Street, House No.1
Dar es Salaam, Tanzania
Pata maelekezo kuja DP Promotions →
Jumatatu - Ijumaa: 8AM - 5PM
Imesasishwa: 2026
Tunakusanya taarifa unazotupatia moja kwa moja — jina, namba ya simu, barua pepe na maelezo ya project — pale unapojaza fomu, kupiga simu, au kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp au portal yetu.
Tunatumia taarifa zako kukupatia huduma, kuandaa quotation, kuwasiliana kuhusu order yako, na (ukikubali) kukutumia ofa na elimu ya branding kupitia mailing list yetu.
Tovuti hii hutumia Google Analytics kuelewa jinsi wageni wanavyotumia tovuti. Taarifa hizi ni za jumla (anonymous) na hutusaidia kuboresha huduma. Unaweza kuzima cookies kwenye browser yako wakati wowote.
Hatuuzi wala kukodisha taarifa zako kwa wahusika wengine. Tunazishiriki tu pale inapohitajika kisheria au kukamilisha huduma uliyoomba.
Una haki ya kuomba kuona, kurekebisha, au kufuta taarifa zako wakati wowote. Wasiliana nasi kupitia sales@dppromotions.co.tz.
Kwa maswali kuhusu privacy, tuandikie: sales@dppromotions.co.tz au piga +255 711 800 400.